Posts

Showing posts from December, 2024

AFYA YA AKILI

Image
Afya ya akili :- Ni ustawi wa mtu pale anapoweza kutambua uwezo wake na kutatua changamoto kufanya kazi na kuchangia katika jamii yake Afya ya akili si kutokuwa na magonjwa ya akili, sio kua vizuri kiuchumi,sio kutokuwa na akili,afya ya akili ni muhimu kama ilivyo afya ya mwili   DHANA YA AFYA YA AKILI Afya ya akili inahusu ustawi wa mtu katika ngazi kuu tatu .ustawi wa jamii  .Akil na fikra  .mihemko na hisia Afya ya akili inahusu mtu anavyofikiri,mtu anavyote hisi na anavyotenda Afya ya akili ni ile ambayo inamuwezesha mtu:- .kujitambua kuhusu kipaji  na hata udhaifu wako .Kujifunza kufanya unachopenda na usichopenda  .Kudhibiti na kuhimili changamoto za kimaisha .kufanya shughuli zake za kimaisha na kuchangia katika jamii yake, familia na taifa kwa ujumla  MAAANA YA UGONJWA WA AKILI N i ule ambao humfanya mtu kuwa na hisia,fikra na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii,kushindwa kukubaliana na changamoto za kimaisha, kus...