Posts

UMUHIMU WA MAZOEZI πŸ‘ŸπŸ€Έ‍♂️πŸƒ‍♂️🚴‍♂️πŸ’ͺ

Image
UMUHIMU WA MAZOEZI KWA MWILI NA AKILI 🌟 1. πŸ’ͺ Huimarisha Mifupa na Misuli Mazoezi husaidia kuongeza nguvu ya misuli na mifupa, hivyo kupunguza hatari ya kuumwa na magonjwa ya mifupa kama baridi yabisi (arthritis) na osteoporosis. 2. ❤️ Huboresha Afya ya Moyo Kufanya mazoezi ya cardio (kama kukimbia, kutembea haraka au kuendesha baiskeli) huongeza mzunguko wa damu, hupunguza shinikizo la damu na hatari ya magonjwa ya moyo. 3. 🧠 Huboresha Afya ya Akili Mazoezi husaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress), wasiwasi, na huzuni. Pia huongeza uwezo wa kufikiri na kumbukumbu. 4. ⚖️ Husaidia Kudhibiti Uzito Mazoezi huongeza kiwango cha kuchoma kalori mwilini, hivyo kusaidia kupunguza au kudhibiti uzito wa mwili. 5. 😴 Huboresha Usingizi Watu wanaofanya mazoezi hupata usingizi mzuri zaidi usiku, ambao ni muhimu kwa afya ya mwili na akili. 6. 🩺 Hupunguza Hatari ya Magonjwa Mazoezi ya mara kwa mara hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa sugu kama kisukari ch...

AFYA YA AKILI

Image
Afya ya akili :- Ni ustawi wa mtu pale anapoweza kutambua uwezo wake na kutatua changamoto kufanya kazi na kuchangia katika jamii yake Afya ya akili si kutokuwa na magonjwa ya akili, sio kua vizuri kiuchumi,sio kutokuwa na akili,afya ya akili ni muhimu kama ilivyo afya ya mwili   DHANA YA AFYA YA AKILI Afya ya akili inahusu ustawi wa mtu katika ngazi kuu tatu .ustawi wa jamii  .Akil na fikra  .mihemko na hisia Afya ya akili inahusu mtu anavyofikiri,mtu anavyote hisi na anavyotenda Afya ya akili ni ile ambayo inamuwezesha mtu:- .kujitambua kuhusu kipaji  na hata udhaifu wako .Kujifunza kufanya unachopenda na usichopenda  .Kudhibiti na kuhimili changamoto za kimaisha .kufanya shughuli zake za kimaisha na kuchangia katika jamii yake, familia na taifa kwa ujumla  MAAANA YA UGONJWA WA AKILI N i ule ambao humfanya mtu kuwa na hisia,fikra na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii,kushindwa kukubaliana na changamoto za kimaisha, kus...